IQNA

Bango | Mfalme wa Haki

IQNA- Aya ya 114 ya Sura Ta-Ha inasomeka hivi: "Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki. Wala usiifanyie haraka hii Qur'ani, kabla haujamalizika ufunuo wake. Na sema: Mola wangu Mlezi! Nizidishie ilimu.

آیه گرافیک